December 19, 2017





Mabingwa watetezi wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports, Simba kesho wanaingia kambini kujiandaa na michuano ya hiyo.

Simba imepanga kuweka kambi katika Hoteli ya Sea Scape jijini Dar es Salaam.

Mabingwa hao watakuwa wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterans wakijiandaa na mechi dhidi ya Green Worriers.

Kupitia michuano hiyo, baada ya kutwaa ubingwa, Simba imefanikiwa kupata nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa kwa mara nyingine.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic