EL CLASICO; VIKOSI HIVI HAPA, KWA HALI ILIVYO UNAFIKIRI NANI HATOKI SALAMA? Nimekuwakea vikosi vya El Clasico wakati Barcelona itakapoivaa Real Madrid, Jumamosi. Kwa hali ilivyo, unafikiri nani hatoki, nani atafanya vema na kwa unavyoweza changia bila ya ushabiki na kama nimekosea kuvipanga vikosi, weka maoni yako.
0 COMMENTS:
Post a Comment