Mshindi wa droo namba 43 ya Shinda na SportPesa ndugu Godfrey Kayuga (42) alikabidhiwa bajaji yake aina ya TVS King Deluxe na mtangazaji wa kipindi cha Shinda na SportPesa ndugu Happyness Wandela, nyumbani kwake mlandizi, Pwani.
Akielezea furaha yake juu ya ushinidi huo, Godfrey alisema "Nilikuwa naangalia TV nikaona kuna mshindi amepatikana kutoka Iringa, nikahamasika ikanibidi na mimi nijifunze kucheza mwisho wa siku nikapigiwa simu na watu wa SportPesa kwamba nimekuwa mshindi kwakweli sikuamini ila nimekuja kuamini baada ya walengwa kuja nyumbani kunikabidhi Bajaji"
"Mimi ni Baba wa watoto wanne na mara nyingi huwa nakuwa mbali na familia yangu, kupitia hii Bajaji nitaongeza kipato changu na itaisaidia familia yangu kwenye mawala ya familia na mboga mboga."
"Mtu wa kwanza kumpa taarifa alikuwa mke wangu, na yeye hakuamini alihisi ni matapeli maana kwa sasa dunia haiaminiki kuna matapeli wengi na mlivyoniambia nitumie taarifa zinazonihusu kama namba za vitambulisho nikamjibu mume wangu kama nyie sio matapeli."
SportPesa inazidi kuwahakikishia Watanzania kuwa TVS King Deluxe za Shinda na SportPesa bado zipo, na msomaji unaweza kuwa mshindi kesho, unachotakiwa kufanya ni kutuma neno GAME kwenda 15888, kisha utafuata maelekezo yanayofuata. Na mara baada ya kuweka ubashiri wako kwa njia yoyote ile, unatakiwa kutuma neno SHINDA kwenda 15888 ili uweze kuingia kwenye droo ya kujishindia TVS Kinga Deluxe mpya kabisa.
0 COMMENTS:
Post a Comment