December 19, 2017



Bado hakujawa na uhakika wa wachezaji wapya taarifa zao kusajiliwa kwenye mtandao wa usajili wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).

Taarifa zinaeleza ahadi sasa, mtandao huo haujawa tayari na wachezaji waliosajiliwa katika dirisha dogo hawajasajiliwa.

Imeelezwa, bado wataalamu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wamekuwa wakiendelea kuoambana kutaka mambo yawe safi.

Baadhi ya wachezaji waliokwamishwa na TMS ni wale wa Simba, Asante Kwasi anayetokea Lipuli ya Iringa na Dayo Domingues kutoka Ferreviario ya Msumbiji.


Awali TFF, ililazimika kulifungua tena dirisha dogo baada ya mtandao huo kuleta matatizo. TFF ilisema imelifungua dirisha kwa saa 24 lakini hadi sasa, bado mambo ni mabaya.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic