December 7, 2017








Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezo mfulilizo chini ya Kocha Djuma Masoud kwa siku ya nne mfululizo.

Simba wamefanya mazoezi yao leo kwenye Uwanja wa Jeshi la Polisi eneo la Kilwa jijini Dar es Salaam.

Kikosi cha Simba kinajifua chini ya kocha wake msaidizi raia wa Rwanda kwa kuwa kocha mkuu, Joseph Omog yuko mapumzikoni kwao Cameroon.

“Kocha akirejea arakuta gurudumu linaendelea naye ataendeleza," kilieleza chanzo.

1 COMMENTS:

  1. Kocha msaidizi wa simba ni raia wa Burundi na sio Rwanda jaribuni kuwa makini mnapotoa news

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic