December 7, 2017



Kiungo wa Yanga, Papy Tshishimbi sasa yuko vizuri kuendelea na mazoezi na wenzake.

Tshishimbi raia wa DR Congo aliyekuwa majeruhi aliungana na wenzake katika mazoezi ya gym na sasa, ataendelea na mazoezi kama kawaida.

Yanga inatarajia kuendelea na mazoezi kesho baada ya mapumziko ya siku moja yaliyotolewa na Kocha George Lwandamina.


Tshishimbi ambaye amekuwa kiungo tegemeo, amekuwa majeruhi kwa zaidi ya wiki tatu sasa na kukosekana katika kikosi cha Yanga kinachomkosa pia kiungo mwingine, Thabani Kamusoko raia wa Zimbabwe.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic