Diego Costa ameiongoza Atletico Madrid kushinda kwa mabao 2-0 katika mechi ya La Liga dhidi ya Getafe, yeye akiwa ndiyo anaichezea mechi ya pili.
Katika mechi ya kwanza ya Copa del Rey, Costa alifunga lakini akaumia wakati anashangilia na kutolewa nje, leo amefunga na akaishia kukalambwa kadi nyekundu baada ya kwenda kushangilia nje.
Alilambwa kadi hiyo baada ya kuwa na kadi ya njanp baada ya kupiga kiwiko, lakini kadi ya pili baada ya kufunga akakimbia kushangilia kwa mashabiki.
Atletico Madrid (4-4-2): Oblak, Vrsalijko, Godin, Savic, Hernandez, Correa (84), Koke (Torres 88), Gabi, Ferreira-Carrasco (Partey 60), Griezmann, Costa;
Subs not used: Moya, Juanfran, Gameiro, Vitolo
Goalscorers: Correa (18), Costa (68)
Booked: Vrsalijko, Hernandez, Gabi, Griezmann, Savic, Costa
Sent off: Costa (68)
Getafe (4-4-2): Martinez, Suarez, Djene, Cala, Antunes, Portillo (Jimenez 64), Mora (Shibasaki 64), Arambarri, Amath, Rodriguez (Pacheco 75), Molina;
Subs not used: Gonzale, Guaita, Molinero, Fajr
Goalscorers: NONE
Booked: Portillo, Cala, Djene
Referee: Jose Munuera
Attendance: 47,023
0 COMMENTS:
Post a Comment