January 22, 2018


Tayari Henrikh Mkhitaryan ametua Arsenal kama sehemu ya uhamisho wa mshambuliaji Alexis Sanchez kwenda Manchester United.


Mkhitaryan amekabidhiwa jezi ya Arsenal na Sanchez akakabidhiwa jezi ya Man United United huku wakibadilishana miji kutoka London kwenda Manchester.

Uhamisho wa  Mkhitaryan kwenye London unaonekana kumezwa na ule wa Sanchez kwenda Manchester lakini kiungo huyo anatarajiwa kupata nafasi kubwa ya kucheza na kufanya vizuri.

Furaha kubwa inabaki kwa Manchester United ambao wameipiga bao Manchester City ambayo ndiyo ilikuwa imeweka nguvu nyingi kumpata Sanchez.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic