February 3, 2018


Kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula ameibuka mchezaji bora wa kikosi hicho kwa mwezi Desemba, mwaka jana.

Manula ndiye amefunga mwaka katika kikosi hicho akiwa mchezaji bora na tayari zawadi yake hii hapa ameishakabidhiwa.

Manula ambaye amejiunga na Simba akitokea Azam FC amekuwa akionyesha mwendo mzuri.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic