Na George Mganga
Baada ya kifo cha nyota wa zamani wa klabu ya Simba, Arthur Mambeta, Afisa Habari Haji Manara, amemueleza kwa ufupu nyota huyo namna alivyokuwa.
Kupitika ukurasa wake wa Instagram, Haji ameeleza kuwa Marehemu Mambeta alikuwa mshambuliaji mahiri kabla hajaanza kucheza nafasi ya beki.
0 COMMENTS:
Post a Comment