KAULI YA HAJI MANARA BAADA YA STARS KUFUNGWA NNE NA WAARABU JANA HII HAPA
Afisa Habari wa Simba, Haji Manara, ametoa maoni yake baada ya Taifa Stars kufungwa mabao 4-1 dhidi ya Algeria katika mchezo uliokuwa wa kirafiki.
Manara amesema ifikie hatua sasa kuwa na mjadala wa kitaifa kuangalia namna gani tatizo la Stars kutofanya vizuri linaweza likatibika, sababu kila aina ya makocha wameshaifundisha timu hiyo.
Haji ameandika kwa ufupi kupitia ukurasa wake wa Instagram
Akafundishe yeye manara ajaribu pengine atalibaini tatizo ni nn
ReplyDelete