MECHI HIZI SI ZA KUKOSA, SPAIN VS GERMANY, ARGENTINA VS ITALY, MECHI NYINGINE KIBAO ZINAPIGWA LEO
Vita kubwa ya mechi za kalenda ya FIFA zinaendelea leo Machi 23 2018 ambapo viwanja mbalimbali nyasi zake zitashika moto.
Kuelekea michezo hiyo, mechi kubwa zinazosubiriwa kwa hamu ni Argentina itakayokuwa inakipiga dhidi ya Italy kwenye Dimba la Etihad Stadium Stadium huko Manchester City.
Mchezo mwingine mkubwa hii leo utakuwa unawakatutanisha mabingwa wa Kombe la Dunia 2010, Spain dhidi ya mabingwa wa taji hilo kwa mwaka 2014, Germany.
Mechi hii ya Spain dhidi ya Germany inazikumbushia fainali za michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2010 iliyofanyika Afrika Kusini ambapo Spain iliibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Netherlands katika muda wa ziada, baada ya dakika 90 kwenda suluhu ya 0-0.
Mwaka 2014 tena Germany ikaja kulitwaa taji hilo kwa kuifunga Argentina bao 1-0 kupita Mario Gotze katika muda wa nyongeza 'Extra Time' kufuatia suluhu ya 0-0 ndani ya dakika 90.
Mechi nyingine zitakazopigwa hii leo ni hizi hapa
0 COMMENTS:
Post a Comment