SIMBA WANAZIDI KUJIFUA KUIWINDA AL MASRY, MAZOEZI YANAENDELEA JIONI HII
Kikosi cha Simba kinaendelea na mazoezi jioni hii kwenye Uwanja wa Boko Veterani kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry.
Simba itaondoka nchini kuelekea Misri kesho Jumatano kwa ajili ya mechi hiyo ambayo awali ilitoka sare ya mabao 2-2 jijini Dar es Salaam.








0 COMMENTS:
Post a Comment