April 20, 2018



Kikosi cha Mtibwa Sugar kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Stand United katika Uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga, mchezo wa Kombe la Shirikisho.

Mtibwa imekuwa timu ya kwanza kutinga hatua hiyo ikizisubiri JKT Tanzania na Singida United ambazo zitakuwa zinawania nafasi hiyo.

Msemaji wa Mtibwa, Thobias Kifaru, amesema kuwa walikuwa wamejipanga vizuri na ndiyo maana wamepata walikochuwa wamekiandaa.

Aidha, Kifaru ametuma salaam kwa yule atakayekutana nao kwenye hatua ya fainali akisema anapaswa kujipangwa haswa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic