April 18, 2018


FULL TIMEMchezo umemalizika.
Dk ya 91: Rostand anapewa kadi ya njano kw akupoteza muda.
Dk ya 90: Zinaongezwa dakika tatu za nyongeza.
Dk ya 89: Mashabiki wa Dicha hawaamini macho yao. Matokeo yakibaki hivi timu yao inakuwa imetolewa.
Dk ya 87: Dicha wanacheza faulo, inapigwa kuelekea kwao.
Dk ya 85: Kipa wa Yanga, Rostand kaumia, mchezo umesimama kwa muda.
Dk ya 80: Wachezaji wa Yanga wameanza kupunguza kasi ya wapinzani kwa kumiliki mpira muda mwingi.
Dk ya 76: Kipa wa Yanga anawahi mpira uliopigwa langoni kwake.
Dk ya 75: Chirwa anabaki na wlainzi wanne anashindwa kuwapita.
Dk ya 72: Mhilu anachezwa faulo, inapigwa kuelekea kwa Dicha, mchezo umesimama kwa muda.
Dk ya 70: Mchezo sasa unachezwa kibabe, muda mwingi nguvu zinatumika.
Dk ya 64: Mashabiki wenyeji wanaongeza presha kwa Yanga kwa kushangilia muda mwingi. 
Dk ya 61: Shambulizi kali langoni mwa Dicha.
Dk ya 60: Said Makapu wa Yanga anapata kadi ya njano kwa kucheza vibaya.
Dk ya 58: Yanga wanatengeneza nafasi kwa kupiga pasi kadhaa lakini wanakosa umakini mwishoni.
Dk ya 52: Mchezo unaanza kuwa mkali. 
Dk ya 50: Yanga wanapiga pasi kadhaa.
Dk ya 48: Yanga wanafika langoni mwa Dicha.
Dk ya 46: Kasi ya Dicha imepungua.
Kipindi cha pili kimeanza.
Timu zinaingia uwanjani.

MAPUMZIKO
Kipindi cha kwanza kimekamilika.
Dk ya 45: Zinaongezwa dakika mbili za nyongeza.
Dk ya 38: Tshishimbi anakosa nafasi ya wazi shuti lake linapaa juu ya lango.
Dk ya 36: Kasi ya wageni imepungua.
Dk ya 31: Bado matokeo ni 1-0.
Dk ya 29: Dicha wanakosa nafasi ya wazi wakiwa wao na lango, mpira unatoka
Dk ya 26: Yanga wanafanya shambulizi kali inakuwa kona.
Dk ya 26: Rostand anadaka shuti kali.
Dk ya 24: Shambulizi kali langoni mwa Yanga lakini kipa Rostand anafanya kazi nzuri.
Dk ya 20: Yanga wanatulia na kupiga pasi kadhaa.
Dk ya 18: Shambulizi kali langoni mwa Yanga, wenyeji wanakosa nafasi ya wazi.
Dk ya 15 Mchezo ni mkali na wenyeji wanaongeza kasi
Dk ya 8: Yanga wanajipanga na kujibu mashambulizi.
Dk ya 3: Dicha wanashambulia kwa kasi kubwa.
Yanga wanaruhusu bao baada ya mpira wa kona kuwapita walinzi kabla ya kujaa wavuni.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dk ya 1. Dicha wanapata kona.
Mchezo unaanza kwa kasi.

3 COMMENTS:

  1. Eti dakika ya 31 matokeo ni 0-0 na dk ya 2 wenyeji walishafunga bao!!!

    ReplyDelete
  2. Yani upo nyuma sana ya matukio Lol

    ReplyDelete
  3. Kilichowafurahisha yanga sio ushindi wakujikongoja bali pesa ambazo huenda wachezaji wakaambulia kifuyio jasho na kidoho kupunguza deni.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic