April 30, 2018



Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kuchezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Mbao FC wakiwa wenyeji watakuwa wanaikaribisha Mwadui FC, mtanange ukianza majira ya saa 10 kamili jioni.

Tayari timu zote zimeshajikamilisha kimaandalizi kuelekea mechi hiyo jioni ya leo.

Mbao FC watakuwa wanaikaribisha wakiwa wamejikusanyia alama 24 kwenye msimamo wa ligi huku wakiwa wamekamata nafasi ya 13.

Wakati huo Mwadui wao wana pointi 26 akiwa nafasi ya 12 katika msimamo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic