April 24, 2018



Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah, amemtumia salaam za pole Mmisiri mwenzake anayeichezea klabu ya Arsenal, Mohamed Elneny, baada ya kuumia Uwanjani.

Elneny aliumia katika mchezo wa ligi kuu England wakati timu yake ilipokutana na West Ham kwenye Uwanja wa Emirates.

Mchezaji huyo bora nchini England kwa msimu wa 2017/18 aliwahi kucheza sambamba na Elneny wakati wakiwa wanaitumikia FC. Basel ya Uswizi.

Katika mchezo huo, Arsenal ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya West Ham United.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic