April 20, 2018



Hivi ndivyo mapokezi ya kikosi cha Yanga yalivyokuwa Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Malimu Julius Kambarage Nyerere baada ya kuwasili usiku wa kuamkia leo kutoka Ethiopia.

Yanga imewasili ikiwa ni baada ya kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuiondoa Wolaita Dicha SC kwa idadi ya mabao 2-1.






2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic