April 28, 2018




Kikosi cha liverpool kimelazimishwa sare ya 0-0 dhidi ya Stoke City katika mchezo wa Ligi Kuu England jioni hii.

Liverpool imeshindwa kutumia faida ya Uwanja wake wa nyumbani kupata matokeo, huku nyota wake aliye kwenye fomu kali kwa sasa, Mohamed Salah akishindwa kucheka na nyavu.

Mchezo unazidi kuiweka Liverpool kwenye nafasi ya tatu ya msimamo wa ligi ikiwa nyuma kwa alama mbili dhidi ya Manchester United.

Liverpool imeondoka na alama moja na kufikisha jumla ya pointi 72 huku wapinzani wao United wakiwa na 74.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic