SERENGETI BOYS YATINGA FAINALI CECAFA KWA USHINDI DHIDI YA KENYA
Kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, kimetinga hatua ya kucheza fainali ya mashindano ya CECAFA nchini Burundi baaya ya kuifunga Kenya kwa mabao 2-1.
Serengeti imefanikiwa kujipatia mabao yake kupitia kwa wachezaji Jafar Juma na Kelvin Paul.
Kikosi hicho kimeungana na Somalia kucheza hatua ya fainali ya michuano hiyo itakayopigwa Aprili 28 2018.
This is TANZANIA,twaanza vizuri,watoto wanafanya poa sana ila ngoja wafike mbele kwenye ligi kubwa,mafigisu kibao mwisho tunaambulia sifuri
ReplyDelete