1. Beno Kakolanya
2. Juma Abdul
3. Emmanuel Martin
4. Abdallah Shaibu
5. Pato Ngonyani
6. Maka Edward
7. Paul Godfrey
8. Thaban Kamusoko
9. Yohana Mkomola
10. Matheo Anthony
11. Baruan Akilimali
Kikosi cha akiba
12. Yusuph Suleiman
13. Amis Tambwe
Sijawahi kuona jambo hili kwenye
ReplyDeletempira wa miguu!
Kuna uumuhimu mkubwa wa kuinusuru YANGA!
Christopher Mbela
walifanya ata njombe mji wakati wakijiandaa na mchezo dhidi ya simba ,walipeleka kikosi cha pili dhidi ya STAND UNITED,sasa unaposema hujawahi kuona jambo kama hilo ndugu unanisikitisha,unaonekana kama sio mwanaichezo
DeleteYote sawa tu maana kuna utofauti kati ya kushiriki na kupambana
DeleteHii ni Yanga "B" au wachezaji ambao wameamua kucheza wasio na malalamiko? Hivi kweli wachezaji wa akiba wawili, hakuna kipa inawezekana? Mungu isaidie Yanga yasitokee majanga yoyote kwa mechi ya leo. Kweli, mnafanya mchezo na Prisons ambao wanajeshi akiumia mmoja wa wachezaji wa Yanga imekula kwenu na viongozi mnawajibika kwa hilo.
ReplyDelete...na ndio maana timu ikasajili wachezaji ishirini na zaidi, ata hivyo kwa mpira wa sasa ni lazima vijana wapewe nafasi ili kusudi mpira ukue zaidi,#BILAYANGAHAKUNAKIKI
DeleteKinachoshangaza kwa wale wanaojiita wapenzi wa Yanga kupinga kila kitu cha ukweli kuhusiana na hali tete na ya kinyonge inayoikabili klabu yanga. Hali ya yanga ni tete sana hivi sasa kiasi cha kutia huruma.
ReplyDeleteKaka hii haiusiani na mgomo na kama mgomo upo basi ni bora hv hakuna suluhisho la haraka na bado mpira lazima uchezwe unatagemea nn mkuu. Linaweza kuwa anguko la Yanaga ama the humble begin
DeleteYanga B hairuhusiwi kucheaza Ligi Kuu (Vodacom premier ligue). Ni yanga yacheza. Zigo haliwezi kutwekwa Yanga B kamwe. Ni Yanga ipigwe isipigwe. Kwa heri yanga, historia imekamilika. Sijui mwaka gani itaingia tena premier baada ya kushuka daraja next season. Maskini Yangaaa
ReplyDelete