May 8, 2018



Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Ulaya (UEFA) limemchangua Mwamuzi Mserbia, Milorad Mazic, kuchezesha mpambano wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Real Madrid dhidi ya Liverpool.

Mchezo huo utapigwa katika Dimba la Olimpiyskiy National Sports Complex uliopo Ukraine, Mei 26 2018.

Ream Madrid ilitinga kuingia fainali kufuatia ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya wababe wa Bundesliga, Bayern Munich.

Wakati huo Liverpool walifanikiwa kufika fainali baada ya kuiondosha AS Roma ya Italy kwa idadi ya mabao 7-6.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic