Baba Mzazi wa Kiungo Mshambuliaji wa Simba Shiza Kichuya mzee Ramadhani Kichuya amemzuia mwanaye kuongeza mkataba mwingine mpya wa kuendelea kuichezea timu hiyo hadi atakapojua muafaka wake wa kwenda klabu ya TP Mazembe ya DR Congo.
Mazembe ni kati ya klabu zilizoonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji huyo ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika juni mwaka huu wakati Ligi Kuu Bara ikiwa imemalizika.
Vizuri ila mzee kichuya atumie busara zaidi kwa kufanya mawasilianao mazuri na viongozi wa waajiri wa sasa wa mwanae yaani SIMBA kuliko kukimbilia kwenye vyombo vya habari. Akina khasan Kesy,Ramadhani Singano hata Ibrahim ajibu na wengineo sidhani kama walikuwa na washauri wazuri kabla ya kufanya maamuzi ya kuondoka SIMBA.
ReplyDeleteSIMBA itashiriki mashindano ya kimataifa mwakani na pengine kama hayo madai yanayozungumzwa na wadau wa soka kuwa kweli ya sports pesa kuwa inakusudia kupeleka moja ya timu ya Africa mashariki uingereza kucheza na Everton ambapo SIMBA ni miongoni mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kushinda tiketi hiyo ingekuwa busara kwa wale wachezaji waliokuwepo SIMBA kuwa watulivu kwani SIMBA iendako ni kiukubwani zaidi na inanafasi ya kuwatangaza wachezaji wake kwenye vilabu bora mbali mbali Africa hata nje ya Africa. Kikubwa ni subra kwani hata kichuya kama atakuwa na mkataba na SIMBA kwa tunavyoifahamu SIMBA kama kweli dili litakuja la uhakika SIMBA haitamzuia. Hakuna zambi hata kidogo kama simba na wao watafaidika na mauzo ya kichuya kuliko kufikiria kuwa mchezaji huru kichuya itakuwa rahisi kwake kwenda TP Zembe kuliko kuwa na mkataba na SIMBA kwa upande fulani hayo ni mawazo ya umimi au selfish zaidi. Mchezaji wa mpira wakati mwengine kama mke akiwa kwenye ndoa huwa anaheshimika na kuwa na thamani zaidi. Samata aliheshimika zaidi na kupata haki zake stahiki kule Mazembe kutokana na usimamizi bora wa viongozi wake wa Simba wakati anaondoka SIMBA .
kuntu umenena ukweli kabisa
Delete'mke anaheshimika akiwa kwenye ndoa' nimeipenda sana hii! kichuya please note.
DeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteMzee Kichuya angalia mbele zaidi, mchezaji huru ana thamani ila mwenye mkataba ana thamani zaidi kwani ikitokea imeshindikana anarudi kwa mikono miwili. Hivyo ni vema kuangalia maslahi mapana zaidi kama akina Msuva wanavyoheshimika. Angalia akina Uhuru, Thomas Ulimwengu wanavyochuja na wala hawasikiki kama ilivyo kwa Samatta.
ReplyDeleteProtas-Iringa
Viblog vya unazii iviii.
ReplyDeleteSasa mbona hutujamuona babake akiongea
Simba mpya katika uongozi wa Mtanzania bilionea MO inao uwezo wa kuwachukua wachezaji watatu ikiwa wao Mazembe wanaweza kumchukuwa mmoja. Ndoto ya Raisi wetu mtukufu ni kuiiona Simba inaleta ubingwa wa Afrika kwahivo Mzee usivuruge ndoto za rais. Kwanza itakie heri nchi yako.Atachokipata Kichuya Mazembe, atakipata kwa kwa MO mara mbili. Hulipwi kwakuwa una ubongo lakini unalpwa kwa kuutumia kiakili. Usimvuruge mwanao leo ukaja kujuta kesho. Mwachie Kichuya aamue mwenyewe na usiwe na tamaa huna hakika nazo.
ReplyDeleteHuyo mzee anataka kumlea mwanawe kama vile ana umri wa miaka sita. Usimuingolie kiubabe kwasababu anayecheza ni Kichuya naye kasoma na yakale hayapo mwache ajiauluie mwenyewe na maslaha yake anyajuwa mwenyewe. wala si mwengineo. Akina Ronaldo wanaamuwa wenyewe na wala sibaba zao
ReplyDeleteUmefika wakati wachezaii wawe na mameneja na wanasheria wao ili kuweza kuwasimamia na kuwashauri pindi inapotokea jambo kama hilo kipindi hiki cha kumaliza mikataba kunatakiwa utulivu mkubwa sana mie nina imani kwa mpira aliouonyesha kichuya atapata mkataba mnono tu pale Simba
ReplyDelete