June 13, 2018



Kocha Julen Lopetegui amefukuzwa kazi kuinoa Hispania katika michuano ya Kombe la Dunia, ikiwa ni muda mchache baada ya Real Madrid kumtangaza ni kocha wao.

Nafasi yake amepewa Fernando Hierro ambaye ni nahodha wa zamani Real Madrid.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic