July 21, 2018





Antoine Griezmann ameomba alipeleke Kombe la dunia katika mii aliozaliwa wa Macon.

Mashabiki nao wamempokea kama shujaa wakati jana alipojitokeza na kuwaonyesha kombe hilo ambalo Ufaransa wamelitwaa nchini urusi na yeye akiwa na mchango mkubwa.

Griezmann, aliungana na mashabiki wapatao 2,000 ambao walimshangilia kwa nguvu wakimuita shujaa.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27 na binti yake pamoja na mkewe, Erika Choperena walionekana ni wenye furaha kubwa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic