July 21, 2018




Kikosi cha Prisons ya Mbeya, kitasafiri hadi Sumbawanga kuanza kambi yao kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya.

Kocha Hassan Motego amesema watacheza mechi tatu za kirafiki wakiwa huko.

“Mjini Sumbawanga tutacheza mechi hizo tatu na wenyeji wetu chama cha mpira huko wanajua.

“Baada ya hapo tutarejea Mbeya kabla ya kuendelea na maandalizi mengi kama kwenda Zanzibar,” alisema.

Prisons watakuwa wanawavaa Simba Agosti 22 katika mechi ya Ligi Kuu Bara ikwa ni mechi yao ya kwanza ya ufunguzi wa ligi hiyo.

4 COMMENTS:

  1. Mnachekesha Sana kuweka kambi kuivaa timu inayoweka kambi uturuki. Hamko serious, mwaka huu ni vichapo kwenda mbele

    ReplyDelete
  2. wanafuata uchawi tu,hakuna lolote,mpira ulishatoka huko,upo kwenye sayansi jamani.

    ReplyDelete
  3. wanafuata uchawi tu,hakuna lolote,mpira ulishatoka huko,upo kwenye sayansi jamani.

    ReplyDelete
  4. Wanajiandaa ati kuigaragaza Simba kwa kwenda Sumbawanga na mnyama kuelekea Uturuki. Safari hii wautaka ubingwa kwa nguvu zote. Hahaas


    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic