MAKONDA NA MKEWE WAPATA MTOTO WA KIUME
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na mkewe wamefanikiwa kupata Mtoto wa kiume, ambaye wamempa jina la Keagan.
Kupitia katika Ukurasa wake wa Instagram, Makonda amemshukuru Mungu kwa zawadi hiyo ya pekee na kuandika “Mungu wewe ni waajabu tena unatenda kwa wakati wako. Asante kwa zawadi ya mtoto wa kiume, Keagan P Makonda.”
Nilivyoangalia picha haraka haraka nilidhani yupo na Madam Kansiime kumbe yupo na Mrs!!!!!!
ReplyDeleteHongera sana muheshimiwa Makonda kwa kujaaliwa kupata mtoto salama wasalimini, Mungu asifiwe Amini. Ila usisahau kumpeleka Keagan kuanza mazoezi Msimbazi kambi ndio imeanza kaja wakati muafaka hajachelewa:) Mungu atamkuza na kumpa kipaji Amini.
ReplyDelete