MDABALA WA CONTE ASAINI MIAKA MITATU CHELSEA
Klabu ya Chelsea imemtangaza Maurizio Sarri kutoka Napoli ya Italia kuwa Kocha wake mpya.
Hatua hiyo imekuja mara baada ya kuachana na aliyekuwa Kocha wake, Muitalia, Antonio Conte baada ya kumaliza vibaya msimu wa 2017/18 huku Chelsea ikimaliza ligi ikiwa nafasi ya 5 ikiwa na alama 70.
Nasri ametua darajani na kusaini mkataba wa miaka mitatu, sawa na ule aliosaini Conte wakati huo anatangazwa mwaka 2016
Conte alitangazwa kujiunga Chelsea Aprili 4 2016 na kufanikiwa kutwaa ubingwa msimu wa 2016/17.
0 COMMENTS:
Post a Comment