July 8, 2018




Mwamuzi Marwa Range raua wa Kenya hatachezesha soka kwa maisha yake yote.

Range amefungiwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf) baada ya kamatik yake ya nidhamu kukutana.

Range alikuwa mmoja wa waamuzi wasaidizi wa Kombe la Dunia nchini Urusi.

Lakini akapokea rushwa ya dola 600, baada ya kuwekewa mtego.

Waamuzi wengine wamekumbana na adhabu mbalimbali kutoka Caf, lakini Range akifungiwa kuchezesha soka maisha.


2 COMMENTS:

  1. Hebu rudi tena ulipoitoa hii habari uilete ikiwa imekamilika na yenye kueleweka.
    Habari haieleweki na haijakamilika kabisa kiasi kwamba msomaji anabaki njia panda

    ReplyDelete
  2. Habar yako haijaeleweka kajipange upya

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic