MKONGWE wa Muziki wa Bongo Fleva, Juma Nature amefanya maajabu katika Uwanja wa Taifa wa Burudani baada ya kuingia jukwaani na kuwakubusha mashabiki wake kwa kupiga nyimbo zake zote kali kuanzia Sonia, Kighetogheto na nyingine kibao.
Katika shoo hiyo ambayo inatambulika kama Tusua Maisha na Global yenye lengo la kuwashukuru wasomaji wake kuwa pamoja, Nature alianza kwa kupanda kumpa zawadi ya pikipiki washindi wa pili na wa tatu wa droo ya Tusua Maisha na Global.
PICHA: RICHARD BUKOS
0 COMMENTS:
Post a Comment