July 22, 2018




Mabingwa wa Soka Tanzania, Simba wameondoka nchini leo kwenda Uturuki.

Simba imeondoka leo alfajiri kwa ajili ya kambi nchini Uturuki.

Kikosi hicho kitaongozwa na Kocha Patrick Aussems raia wa Ubelgiji.

Kabla ya leo, jana jioni, kundi la kwanza la Simba liliondoka kwenda Uturuki pia likiongozwa na Kocha Msaidizi, Masoud Djuma.

6 COMMENTS:

  1. Safari njema kwani kibao kimegeuka ile habari yakusema Simba ni wa matopeni zilikuwa ni kauli za kilimbukeni kwani hakuna asiejua yakuwa Simba ndie muakilishi halisi wa Tanzania kwenye gemu za kimataifa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ila simba wawe makini wasije rudia hali mbaya kiuchumi

      Delete
  2. Big up SSC leadership,Mo Dewji players and the entire technical bench.We all support you.

    ReplyDelete
  3. Hongera Sana Chama langu wekundu WA msimbazi kila LA heri na Safari njema

    ReplyDelete
  4. Hayo ndiyo tunataka kwa timu kufanya maandaliazi. Simba wamekwenda Uturuki, Azam FC wanakwenda Uganda, Prisons sijui Sumbawanga au Zanzibar ili kujiweka fiti kwenye ligi ambayo inaonekana ushindani umeongezeka baada ya Stand United "Chama la Wana", kusajili wachezaji 10 wa kigeni. Kazi ipo.

    Protas-Iringa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic