July 22, 2018



Fungu la kwanza la mabingwa wa soka Tanzania, Simba limeondoka kwenda Uturuki.

Simba inatarajia kuweka kambi nchini Uturuki kujiandaa na msimu ujao.

Kundi hilo limeondoka likiongozwa na Kocha Msaidizi, Masoud Djuma pamoja na Kocha wa Makipa, Mohamed Mwarami, Daktari wa timu, Yassin Gembe na meneja wa timu hiyo.

Litakalofuatia ni fungu la wachezaji ambalo linatarajia kufunga safari ya Uturuki tayari kwa kuanza kambi hiyo iliyoelezwa kuwa ya wiki mbili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic