August 26, 2018


Taarifa zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kwamba mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu), amefariki dunia asubuhi ya leo, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kwenye wodi ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU), alikokuwa akitibiwa.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Msemaji wa Hospitali ya Muhimbili, Aminiel Eligaesha, marehemu alikuwa amelazwa wodi namba 18 na hali yake ilibadilika usiku, hali iliyolazimu ahamishiwe ICU alikofariki asubuhi ya leo.

Saleh Jembe itaendelea kukujuza juu ya taratibu za msiba huo namna zitakavyokuwa zinaenda, endelea kuwa nasi.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic