SPORTPESA WALIFANYIA UKARABATI BASI LA YANGA, SASA LINA MWONEKANO MPYAAA!!!
Kampuni ya SportPesa imeifanyia ukarabati basi la timu ya Yanga ambalo sasa limekuwa na mwonekano tofauti na ilivyokuwa zamani.
Ukarabati huo umefanywa ikiwa ni takribani mwezi mmoja umepita baada ya kulibadilisha pia lile la watani zao wa jadi Simba.
Ikumbukwe Yanga na Simba zimekuwa chini ya SportPesa ambaye ni mdhamini mkuu baada ya kuingia nao makubaliano ya kusaini mkataba wa miaka mitano.
Mkataba unasema atatoa bus jipya na kisasa liko wp
ReplyDeleteHata kukarabati-but kumtegemea mhisani?
ReplyDeleteTarimba anapotea amesahau majukumu take,amekuwa so mdhamini Bali no MTU anayehangaika na yanga take,niseme sisi simba tunamwangalia na sasa tumemchoka,no dewj mwangangilieni huyu MTU,manara mbona huongelei hii kitu,kwani lazima tuwabebe sportpesa ambayo kiongozi wake amethibitisha ukandambili wake?amkemi,mo anaakampuni mengi,sitaki kuona tunaibeba sportpesa ya yanga,nitanii
ReplyDelete