August 26, 2018


Ligi Kuu Bara inaendelea tena leo kwa mechi kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti nchini.

Ruvu Shooting maarufu kama wazee wa kupapasa, watakuwa wanashuka dimbani kucheza na KMC iliyopanda daraja kutoka Ligi Daraja la Kwanza msimu uliopita.

Mechi hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Ruvu huko Mlandizi, Pwani kuanzia majira ya saa 8 kamili mchana.

Mechi zingine ambazo zinapigwa leo ni hizi hapa

14:00 Ruvu Shooting vs KMC
16:00 Mtibwa Sugar vs TZ Prisons
16:00 JKT Tanzania vs Lipuli FC
16:00 Stand United vs Mbao FC

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic