TFF YALAANI MWANAHABARI KUPIGWA NA POLISI TAIFA JANA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), limelaani kitendo cha Polisi kumpiga Mwandishi wa Habari za Michezo, Sillas Mbisse, katika mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Asante Kotoko kutoka Ghana.
0 COMMENTS:
Post a Comment