August 9, 2018



Philippe Coutinho ikiwa ni msimu mmoja tu tokea ague FC Barcelona ameamua kubadili jezi yake.

Coutinho amebadili jezi kutoka lie namba 14 aliyokabidhiwa na kuchukua namba 7 ambalo ndiyo chaguo lake.

Alijiunga na Barcelona akitokea Liverpool na alianza kuonyesha ni tegemeo kwa Barcelona na kuwa chachu mwishoni kubeba ubingwa wa La Liga.

Hata hivyo, Barcelona haikuweza kwenda mbali zaidi kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya huku wapinzani wao wakuu Madrid wakibeba ubingwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic