Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti SportPesa Tanzania Tarimba Abbas akiambatana na Mkuu wa masoko bwana Kelvin Twissa wakikabidhi hundi ya shilingi milioni hamsini kwa raisi wa klabu ya Simba na Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugora kwa kuwa washindi wa pili wa mashindano ya Kagame Cup siku ya Simba Day.
0 COMMENTS:
Post a Comment