AFRICAN LYON WAAJILI MFARANSA, AANZA KAZI LIGI KUU BARA African Lyon imeanza maandalizi ya msimu mpya chini ya Kocha Mpya kutoka nchini Ufaransa. Kocha huyo, Succoia Lwanel tayari ameanza kukinoa kikosi hicho. Imeelezwa kocha huyo anatarajia kutambulishwa leo jijini Dar es Salaam.
Yale yale! ya Lyon kuleta wazungu mwisho wa siku kushuka daraja.
ReplyDelete