August 26, 2018


Uongozi wa Yanga kupitia kwa Ofisa Habari wake, Dismas Ten, umeomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza kwa kuchelewa kutangaza jezi kwa ajili ya msimu mpya wa 2018/19 kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wao.

Kwa sasa klabu hiyo inafanya mpango kabambe wa kufanya zoezi la kupatikana kwa jezi mpya kwa ajili ya mashindano yote klabu hiyo itakayoshiriki msimu wa 2018/19.

Uongozi umewaomba wanachama na mashabiki wa klabu hiyo pindi taratibu zitakapokamilika watatangaziwa jinsi ya kuzipata na mahali zitakapopatikana.



4 COMMENTS:

  1. Timu kubwa lakini mambo yao bana ngumu kweli kuyaelewa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hawafanani na wanachokifanya kabisa. Hovyo kabisa

      Delete
  2. Hivi ule mkataba na Macron uliishia wapi soka la bongo bila ya longolongo aiwezekani

    ReplyDelete
  3. Haiingii akilini ligi imeanza na wamevaa jezi mpya tumeziona hadharani , halafu leo mnakuja na tamko eti yanga kuanika jezi zake mpya hadharani

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic