Unaweza kusema Morogoro wamecharuka na SportPesa na hii ni baada ya kijana mwingine ajulikanae kama Agrey Chaula kutoka Kilombero mkoani humo kujishindia zaidi ya shilingi milioni kumi na tano, kwa kubashiri kwa usahihi matokeo ya mchezo wa mpira na kujishindia kiasi hicho cha fedha kutoka SportPesa.
Chaula mwenye ndoto za kuwa mbunifu wa mavazi, ndoto zake zimesafishiwa njia ya kutimia na SportPesa baada ya kujinyakulia kitita hicho cha fedha alichoshinda baada ya kubashiri kwa usahihi.
"Ninachoweza kuwashauri wenzangu ni kutokata tamaa kucheza na SportPesa ili kujihakikishia ushindi," alisema Chaula.
Kutokana na alama au Odds za SportPesa kuwa nono, huku zawadi kwa washindi zikitolewa kwa uhakika tena papo kwa hapo, mara tu baada ya kipyenga cha mwamuzi, SportPesa imejipambanua kama chaguo sahihi kwa michezo ya kubashiri matokeo hasa ya soka hapa nchini.
Hii ndiyo kampuni pekee yenye Jackpot kubwa kuliko zote, ambapo ubashiri sahihi wa timu 13 unageuza mtu kuwa milionea kwa mtaji wa shilingi elfu mbili pekee, kama vile hiyo haitoshi, kwa yeyote atakayebashiri kwa usahihi michezo kuanzia kumi kati ya hiyo 13 atapata bonus ya fedha.
SportPesa imejikita katika kurahisishia wateja wake kubashiri bila matokeo kwa kuwawekea pia njia zaidi ya moja ya kubashiri.
Mfano hivi sasa unaweza kubashiri matokeo halisi, idadi ya magoli, matokeo ya vipindi tofauti na namna nyingine zaidi ya kumi na tatu, zote zikiwa na alama yaani Odds za kusisimua ambazo zinampa mteja uwanja mpana zaidi wa kushinda.
SportPesa hivi sasa wanasisitiza weka, cheza na ushinde, huku malipo yakiwa ni ya uhakika tena bila kusubiri au kusumbuliwa.









0 COMMENTS:
Post a Comment