September 6, 2018



Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wameendelea na mazoezi yao leo kwenye Uwanja wa Boko Veterani kujiweka sawa kabla ya kuendelea na Ligi Kuu Bara.

Ligi kuu iko mapumziko kupisha kipindi cha mechi za kimataifa za nchi zikiwa kazini.

Kocha Patrick Aussems ameutumia wakati huo vizuri kuendelea kukinoa kikosi chake ili kuhakikisha kinaendelea kufanya vizuri katika ligi na michuano mingine ikiwemo ya kimataifa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic