Kikosi cha Taifs Stars, kimetua salama nchini Uganda tayari kuwavaa wenyeji wake, The Cranes watakaoongozwa na Emmanuel Okwi.
Taifa Stars inaongozwa na nahodha wake, Mbwana Samatta ambaye anakipiga katika klabu ya KRC Genk.
Maandalizi ya awali ya kikosi hicho yalifanyika jijini Dar es Salaam chini ya benchi la ufundi linaloongozwa na Mnigeria, Emmanuel Amunike.









0 COMMENTS:
Post a Comment