September 22, 2018


Ikulu imeeleza kuwa siku ya Jumatatu tarehe 24 Septemba, 2018, itakuwa ni siku ya kazi kama kawaida. Siku 4 alizotangaza Rais Magufuli ni za maombolezo na sio mapumziko.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu, Gerson Msigwa ameandika;

“Napenda kutoa ufafanuzi kuwa Jumatatu tarehe 24 Septemba, 2018 ambayo ni siku ya mwisho ya maombolezo ya Kitaifa, itakuwa ni siku ya kazi kama kawaida. Mhe. Rais Magufuli ametangaza siku 4 za MAOMBOLEZO na sio MAPUMZIKO.”

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic