September 23, 2018


Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kushika kasi tena leo kwa jumla ya viwanja vinne kuwaka moto.

Mabingwa watetezi Simba waliokosa bahati Alhamis ya wiki hii kwenye Uwanja wa CCM Kirumba kwa kufungwa bao 1-0 na Mbao, watakuwa Kambarage Shinyanga kucheza na Mwadui FC.

Halikadhalika watani zao wa jadi Yanga watakuwa Uwanja wa Taifa majira ya saa 1 za usiku kucheza dhidi ya Singida United.

Ratiba kamili hii hapa


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic