September 4, 2018


Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ametania kuwa hana hofu kuwa atapoteza kazi yake kwa sababu inaweza kaigharimu klabu pesa nyinyi kumfuta. (La Repubblica via Daily Telegraph)

Meneja wa Aston Villa Steve Bruce anataka kumsaini tena mlinzi wa zamaniawa England mwenye miaka 37 John Terry. Sun

Sporting Lisbon itampa mkataba mpya mshambulizi raia wa Cape Verde mwenye miaka 20 Jovane Cabral na kuongeza pesa na kumwezesha kukata mkataba wake hadi pauni milioni 40.5 wakati Barcelona wanam
mzea mate. (Ojogo - in Portuguese)

Fifa wamewaandikia Inter Milan na Real Madrid kusema kwa haiwezi kuchuakua hatua kufuata malamiko ya klabuahiyo ya Uhispania kuhusu kumzungumzia kinyume na sheria kiungo wa kati ria wa Croatia. Luka Modric. (Gazzetta dello Sport)


Manchester City wako tayaria kungoja hadi msimu wa msimu kabla ya kumpa ofa mlinzi Mbelgiji mwenye miaka 32 Vincent Kompany mpya. (Sun)

Kiungo wa kati wa Manchester United mwenye miaka 25 Paul Pogba amekiambia klabu kuwa anataka kurudi Juventus mwezi Januari. (Express)


Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp anasema hana mipango wa kuwabadilisha makipa wake wakti wa ligi ya mabingwa huku kipa Mbrazil mwenye miaka 25 akitarajiwa kucheza.

Mtoto wa Ronaldo alifunga mara nne kwenye timu ya Juventus wa wachezaji walio chini ya miaka 9. (Mirror)


Messi anasema Madrid wamebaki dhaifu baada ya kuondoka Ronaldo na wakati huu ndio Barcelona inahitaji kushinda ubingwa tena. (El Pais - in Spanish)

Mchezaji mpya wa Barecelona mwenye miaka 22 Arthur, kiungo wa kati raia wa Brazil ambaye alijtoka huko Gremio anamkumbusha Messi kuhusu aliyekuwa kiungo wa kati wa Barcelona na Uhispania Xavi. (Mundo Deportivo - in Spanish)


Rais wa Bayern Munich Uli Hoeness anasema Paris St-Germain inastahili kumfuta mkurugezni wa michezo Antero Henrique kutokana na njia alikuwa akimsaini mlnzi wa Bayern Jerome Boateng na kiungo wa kati mreno Renato Sanches. (Kicker - in German)

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic