September 3, 2018


Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetoa orodha ya achezaji watatu waliongia kwenye hatua ya mwisho ya kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa FIFA 2017/18.

Katika orodha hiyo, kwa mara ya kwanza jila la nyota wa FC. Barcelona na timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi limekosekana.

Waliongia ni

1. Mohammed Salah - Misri/Liverpool

2. Cristiano Ronaldo - Ureno/Real Madrid

3. Luka Modric- Croatia/Real Madrid

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic