September 2, 2018


Imeelezwa kuwa uongozi wa klabu ya Yanga umeipiga chini ziara ya kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida United.

Yanga ilipanga kuelekea mkoani humo kucheza mechi hiyo ambayo ilipangwa kupigwa Septemba 5 2018.

Taarifa za ndani ya Yanga zinasema, Kocha Mkuu wa timu, Mwinyi Zahera, amegomea safari hiyo na badala yake amehitaji muda na wachezaji kuwaweka fiti zaidi.

Zahera amesema kwa sasa akili na nguvu zote zinapaswa kuelekezwa kwenye ligi ili kufanya vema kwenye mechi zinazokuja mbele yao.

Kocha huyo ameeleza kupania pointi tatu kwa kila mechi ili kuurejesha ubingwa ambao ulichukuliwa na Simba msimu uliopita.

3 COMMENTS:

  1. Yes, the coach is totally right to boycot the trial match with Singida, while he is sure of landslide victory in every match leading to ultimate championship.



    ReplyDelete
  2. Timu haina hela wenzie wanatafuta ye analeta wasikosa hamasa je

    ReplyDelete
  3. Wametaka wenyewe halafu wamegomea hofu kupta kipigo na huku wakiutaka ubingwa kwa kuzifunga timu zote na bila kupoteza pont moja. Huyu kocha anaonesha hodari na mwingi wakujisifu



    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic