Licha ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam dhidi ya Singida United, unaambiwa Yanga imewapiga bao Simba kwa kufuatilia mitandaoni.
Hizo data sio za kweli , Simba Sports Club ina members 438,531.. Halafu Klabu ya Simba SC haiitwi Simba F.C bali inaitwa Simba S.C..Ukweli wa idadi ya Fans wa Simba SC kwenye mtandao wa Facebook huu hapa kwenye link https://www.facebook.com/simbatanzania/
Hizo data sio za kweli , Simba Sports Club ina members 438,531 kwenye mtandao wa Facebook.. Halafu Klabu ya Simba SC haiitwi Simba F.C bali inaitwa Simba S.C..Ukweli wa idadi ya Fans wa Simba SC kwenye mtandao wa Facebook huu hapa kwenye link https://www.facebook.com/simbatanzania/
Dah sitaki kuamini kama kweli mtu ameshindwa kutofautisha neno kufuatiliwa mitandaoni na idadi ya mashabiki mtandaoni. Ndugu mwandishi mi nimekuelewa sana salamu za pole zimfikie shabiki maandazi alieyeshindwa kukuelewa hapo juu.
Hizo data sio za kweli , Simba Sports Club ina members 438,531.. Halafu Klabu ya Simba SC haiitwi Simba F.C bali inaitwa Simba S.C..Ukweli wa idadi ya Fans wa Simba SC kwenye mtandao wa Facebook huu hapa kwenye link https://www.facebook.com/simbatanzania/
ReplyDeleteHizo data sio za kweli , Simba Sports Club ina members 438,531 kwenye mtandao wa Facebook.. Halafu Klabu ya Simba SC haiitwi Simba F.C bali inaitwa Simba S.C..Ukweli wa idadi ya Fans wa Simba SC kwenye mtandao wa Facebook huu hapa kwenye link https://www.facebook.com/simbatanzania/
ReplyDeleteDah sitaki kuamini kama kweli mtu ameshindwa kutofautisha neno kufuatiliwa mitandaoni na idadi ya mashabiki mtandaoni. Ndugu mwandishi mi nimekuelewa sana salamu za pole zimfikie shabiki maandazi alieyeshindwa kukuelewa hapo juu.
ReplyDelete