October 15, 2018




Baba mzazi wa Nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany amechaguliwa kuwa Meya wa Manispaa ya Ganshoren nchini Ubelgiji.


Baada ya ushindi wake huo, Pierre Kompany amekuwa mweusi wa kwanza kushika wadhifa huo.


Kompany aliwasili nchini Ubelgiji mwaka 1975 akiwa mmoja wa wakimbizi kutoka nchini jirani ya Tanzania ya DR Congo.

Katika uchaguzi huo, Kompany alionekana atashinda kwa kuwa tokea mwanzoni alikuwa akipewa nafasi kubwa.

Mtoto wake ambaye ni nahodha wa mabingwa watetezi wa England na timu ya taifa ya Ubelgiji, amekuwa ni msaada mkubwa kwake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic